Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kamfufue uzikwe wewe ili aje kurekebisha hayo.Awamu ya 6 haina kishindo chochote!
Kama hadi mitambo ya hapo bandarini inatukbukia kwenye maji kuna kishindo gani hapo?
Luku tu imetulaza watu giza siku 5 kuna kishindo gani hapo?
Kama sekta nyeti ya TRA network inakatika kutwa nzima kuna kishindo gani hapo?
Makusanyo ya mwezi huu ni bilioni 300 tu.
Sukuma gang