TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

Dakika ya 35' Mpendwa Mtazamaji, tunalazimika kukatisha matangazo kujiunga na wenzetu waliopo viwanja vya Chimwaga kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM ambapo Rais wa JMT ni mgeni rasmi.
Hawashindwi hawa kukatisha mechi, yn program zao za vipind hta hazieleweki kbs
 
Dakika ya 35' Mpendwa Mtazamaji, tunalazimika kukatisha matangazo kujiunga na wenzetu waliopo viwanja vya Chimwaga kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM ambapo Rais wa JMT ni mgeni rasmi.
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukisikia kumradhi ujue shughuli imeishia hapo.
 
Dakika ya 35' Mpendwa Mtazamaji, tunalazimika kukatisha matangazo kujiunga na wenzetu waliopo viwanja vya Chimwaga kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM ambapo Rais wa JMT ni mgeni rasmi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…