Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Hawashindwi hawa kukatisha mechi, yn program zao za vipind hta hazieleweki kbsDakika ya 35' Mpendwa Mtazamaji, tunalazimika kukatisha matangazo kujiunga na wenzetu waliopo viwanja vya Chimwaga kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM ambapo Rais wa JMT ni mgeni rasmi.