TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
 
Mahojiano ya kupeana maswali na majibu mwezi mzima!.

Michezo ya ccm yote hiyo.
 
Mimi nilisha block hilo lichanel sitaki kuisikia kwenye nyumba yangu, hata wanangu wasijue kama kuna kitu kama hicho ni hatari kwa afya zao za akili
 
Back
Top Bottom