Tetesi: TBC kuonesha mechi 28 za Kombe la Dunia Qatar

Tetesi: TBC kuonesha mechi 28 za Kombe la Dunia Qatar

Tatizo litakuwa kwenye NISHATI umeme kama mwendo utakuwa ndiyo huu
 
Kama unajiweza hamia DSTV hawa jamaa ni wanyama sana kwenye ubora wa picha na program zao ni marvelous
 
Kama upo serious unataka kuchech World cup achana village channels....subscribe world channels kama Supersport
 
Back
Top Bottom