TBC kuonesha World Cup, Azam ndio sterling wa hili picha

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media.

Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure kuonyesha kombe la dunia ni kama kuamua mbwai iwe mbwai kila kitu wanafanya azam mpaka studio za wachambuzi ni za azam wao tbc ni kuonyesha tu baasiii.

Na ndio maana chanel ya TBC iliondolewa kwenye mfumo wa bure kwa baadhi ya visimbuzi vya dishi ila wengi wa antena TBC ilikuwepo tena mechi ilikuwa clear HD kabisa hawa hawawezi kuwa tbc tunayoijua sisi.. [emoji16][emoji16]

Sema nn Azam ni mkombozi wa wanyonge bahressa aishi sana akyamama 4 years bila kuangalia tbc hatimae leo nimeangalia TBC.
 
Ila wabadilishe mtangazaji kapoa sana hata watangazaji wa ndondo cup wamemzidi mbali
 
Mtangazaji mwenyewe kakariri vimaneno vya kiarabu Kila saa anabitamka, anadhani sijui atapata sifa? Hawa watangazaji kama wanapenda saana lugha ya kiarabu waanzishe idhaa ya kiarabu ili owe chaguo kwa anayetaka.Hata Azam kapo kajamaa kanalazimishia maneno hata sehemu isiyohitajika
 
Unaonekana unachuki imekujaaa kuhusu lugha ya kiarabu.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media.

Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure kuonyesha kombe la dunia ni kama kuamua mbwai iwe mbwai kila kitu wanafanya azam mpaka studio za wachambuzi ni za azam wao tbc ni kuonyesha tu baasiii.

Na ndio maana chanel ya TBC iliondolewa kwenye mfumo wa bure kwa baadhi ya visimbuzi vya dishi ila wengi wa antena TBC ilikuwepo tena mechi ilikuwa clear HD kabisa hawa hawawezi kuwa tbc tunayoijua sisi.. [emoji16][emoji16]

Sema nn Azam ni mkombozi wa wanyonge bahressa aishi sana akyamama 4 years bila kuangalia tbc hatimae leo nimeangalia TBC.
Kumbe ile studio walipokuwa wanachambua mpira ni studio za Azam yn studio za Azam zipo Tabata Kwahy pale n Tabata kwenye studio za Azam, Au sijaelewa.?
 
Kumbe ile studio walipokuwa wanachambua mpira ni studio za Azam yn studio za Azam zipo Tabata Kwahy pale n Tabata kwenye studio za Azam, Au sijaelewa..
Azam pale wamecover tuu ila ndio penyewe ungecheki ground flow kisha angalia upande wa tv ndio hapo hapo wanapochambulia mechi za ligi kuu za zile za CAF zinazooneshwagwa ZBC 2
 
exacty ni kama ZBC TWO nayo ni azam watupu.
Juzi ijumaa nikashangaa namuona yule kaka wa zumari zbc 2 nikajiuliza zbc na utv wana ubia na wafanyakazi au ni nini kumbee ndio hivo shukran nilikua sjui
 
azam pale wamecover tuu ila ndio penyewe ungecheki ground flow kisha angalia upande wa tv ndio hapo hapo wanapochambulia mechi za ligi kuu za zile za CAF zinazooneshwagwa ZBC 2
Lkn studio za zbc 2 n ndogo cdhan kama ndio ile inayoonyeshwa na TBC. Na kama ni kweli n studio za zbc 2 bc watakuwa wametumia Green effects (pazia la kijani) ili kutengeneza mandhari ile ya studio (ila bado cjaamini kama kweli pale n studio za Azam ambazo zipo pale Tabata)
 
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media.

Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure kuonyesha kombe la dunia ni kama kuamua mbwai iwe mbwai kila kitu wanafanya azam mpaka studio za wachambuzi ni za azam wao tbc ni kuonyesha tu baasiii.

Na ndio maana chanel ya TBC iliondolewa kwenye mfumo wa bure kwa baadhi ya visimbuzi vya dishi ila wengi wa antena TBC ilikuwepo tena mechi ilikuwa clear HD kabisa hawa hawawezi kuwa tbc tunayoijua sisi.. [emoji16][emoji16]

Sema nn Azam ni mkombozi wa wanyonge bahressa aishi sana akyamama 4 years bila kuangalia tbc hatimae leo nimeangalia TBC.
hata wafanyaje hawawezi kufikia ubora wa picha wa Dstv: Wakati niko bongo Nilishawahi kuunganisha ving'amuzi viwili kwenye TV moja na baada ya kufanya uwiano (comparison) yangu ya kifundi nikagundua Azam TV ana ubora wa picha wa kiwango cha 720p wakati Dstv ana ubora wa picha kwa kiwango cha 1080p muda sio mrefu ataingia 4K, kwa watu wanaopenda ubora wa picha na content nawashauri watumie DSTV, Azam kinachombeba ni hiyo ligi kuu ambayo nayo haina ubora... but honestly nikiwa bongo naifurahia sana DSTV i dont care about cost i do care the Quality of the content.
 
Lkn studio za zbc 2 n ndogo cdhan kama ndio ile inayoonyeshwa na TBC. Na kama ni kweli n studio za zbc 2 bc watakuwa wametumia Green effects (pazia la kijani) ili kutengeneza mandhari ile ya studio (ila bado cjaamini kama kweli pale n studio za Azam ambazo zipo pale Tabata)
zbc 2 ndio azam baba kila kitu si wanafill kama walivyofanya leo
 
Yah nafahamu zbc 2 ndio Azam.
swali langu n ile studio iliyoonekana TBC ni studio ya azam/zbc 2.? Mana hata hy studio ya zbc 2 ipo hapo hapo Tabata kwenye ofisi za Azam.
 
Back
Top Bottom