HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu ya roho ya magufuli ilibaki azam kwa mzee bakhresa...Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media.
Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure kuonyesha kombe la dunia ni kama kuamua mbwai iwe mbwai kila kitu wanafanya azam mpaka studio za wachambuzi ni za azam wao tbc ni kuonyesha tu baasiii.
Na ndio maana chanel ya TBC iliondolewa kwenye mfumo wa bure kwa baadhi ya visimbuzi vya dishi ila wengi wa antena TBC ilikuwepo tena mechi ilikuwa clear HD kabisa hawa hawawezi kuwa tbc tunayoijua sisi.. [emoji16][emoji16]
Sema nn Azam ni mkombozi wa wanyonge bahressa aishi sana akyamama 4 years bila kuangalia tbc hatimae leo nimeangalia TBC.
Hata dstv content wanazozianda wao kama ligi yao ya absa na azam hawana tofauti tu ila zile content za ulaya wanazonunua ndiyo zina quality kubwahata wafanyaje hawawezi kufikia ubora wa picha wa Dstv: Wakati niko bongo Nilishawahi kuunganisha ving'amuzi viwili kwenye TV moja na baada ya kufanya uwiano (comparison) yangu ya kifundi nikagundua Azam TV ana ubora wa picha wa kiwango cha 720p wakati Dstv ana ubora wa picha kwa kiwango cha 1080p muda sio mrefu ataingia 4K, kwa watu wanaopenda ubora wa picha na content nawashauri watumie DSTV, Azam kinachombeba ni hiyo ligi kuu ambayo nayo haina ubora... but honestly nikiwa bongo naifurahia sana DSTV i dont care about cost i do care the Quality of the content.
TrueHata dstv content wanazozianda wao kama ligi yao ya absa na azam hawana tofauti tu ila zile content za ulaya wanazonunua ndiyo zina quality kubwa
Ni kweli unachosema kuhusu quality ya NBC na Absa kwenye picha za matangazo ziko sawa Kwa sababu zote ni HDHata dstv content wanazozianda wao kama ligi yao ya absa na azam hawana tofauti tu ila zile content za ulaya wanazonunua ndiyo zina quality kubwa
Wanatangaza nini ushuzi mtupu wangeacha kwa Kiingereza.Ila wabadilishe mtangazaji kapoa sana hata watangazaji wa ndondo cup wamemzidi mbali