Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media.
Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure kuonyesha kombe la dunia ni kama kuamua mbwai iwe mbwai kila kitu wanafanya azam mpaka studio za wachambuzi ni za azam wao tbc ni kuonyesha tu baasiii.
Na ndio maana chanel ya TBC iliondolewa kwenye mfumo wa bure kwa baadhi ya visimbuzi vya dishi ila wengi wa antena TBC ilikuwepo tena mechi ilikuwa clear HD kabisa hawa hawawezi kuwa tbc tunayoijua sisi.. [emoji16][emoji16]
Sema nn Azam ni mkombozi wa wanyonge bahressa aishi sana akyamama 4 years bila kuangalia tbc hatimae leo nimeangalia TBC.