TBC kuonesha World Cup, Azam ndio sterling wa hili picha

Sehemu ya roho ya magufuli ilibaki azam kwa mzee bakhresa...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hata dstv content wanazozianda wao kama ligi yao ya absa na azam hawana tofauti tu ila zile content za ulaya wanazonunua ndiyo zina quality kubwa
 
Hata dstv content wanazozianda wao kama ligi yao ya absa na azam hawana tofauti tu ila zile content za ulaya wanazonunua ndiyo zina quality kubwa
Ni kweli unachosema kuhusu quality ya NBC na Absa kwenye picha za matangazo ziko sawa Kwa sababu zote ni HD

Tofauti inakuja sehemu moja tu, katika Absa DStv wanafunga camera nyingi viwanjani kiasi kwamba kunakuwa hakuna matukio ambayo huwezi acha kuona

Kwahiyo quality ni moja ila vitendea kazi ndio tofauti, huku sie kwenye NBC kuna matukio yanatokea mara Kwa mara na kutopatiwa majibu kutokana na kuwa na camera chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…