Tuliona wiki iliyopita mnaifumbia macho Taifa Stars ikiwa Misri na badala yake mkaamua kutuwekea chereko chereko, tunashukuru sana. Na leo Taifa Stars iko Zbr, vipi mnatuonesha live ama mtatuletea chereko tena!
Ili li TV letu la Taifa sijuhi liko pale kwa kazi gani mkuu, ukiangalia UBC, ZBC, MBC n.k hizi nchi kama timu zao za Taifa zinacheza ni lazima waonesha mechi zao ila hapa Tz kazi hii sahivi inafanywa na Azam ..sijuhi ni kwanini hawa watu wanalipwa mishahara alafu wanatangaza eti watanzania tuwe wazalendo huku wao wakiwa wazalendo kwa wanaharusi
(1) Mwadini Ally
(2) S Kapombe
(3) Mwinyi Haji
(4) H Isihaka
(5) Nadir H
(6) J Mkude
(7) S Mdelwa
(8) A Banda
(9) S. Msuva
(10) R Mandawa
(11) Kelvin F
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.