TBC Madonna na Tupac Shakur

Makaveli the don..

Killuminati
Anasema
Bitches pursue me like dreams.
And am disapear like dope fiend..

The feds watching niggaz plottin to get me will i survive will die..
Hizi mistari za All eyez on me.

Katika ngoma kichaa za huyu jamaa ambazo zinaishi.
2 of americaz most wanted
All eyez on me
Haily mary
Carlifonia love(interscope)
Hellrazor
Unborn child
Aint mad atcha
Hit em up.
Ni hatari tupu.yaani verses zote za jamaa nilizimeza miaka hiyo
 
Tupac enzi zake kachapa totoz nzuri nzuri zote(Madonna, Faith Evans, Jada Pinkett, Janeth Jackson

Pisi kaali huwa zinawapenda sana wahuni
U cant believe alikataa kabisa jada kwamba alikuwa ni demu wake.
But more than a friend.

Kichaa cha pac kilikuwa kikipanda hata mama AFENI alikuwa hawezi kumtuliza ila jada(mama jayden)ndio aliweza kumtuliza mzuka huyu jamaa.

Alikiri kwamba alikuwa ni mtu wa muhimu kwake katika maisha kuliko muziki.
 
Muhuni sio mtu kabisa, ila walipendana sana huwenda alichosema Pac kinaukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…