mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Rose that grew from the concrete
U cant believe alikataa kabisa jada kwamba alikuwa ni demu wake.
But more than a friend.
Kichaa cha pac kilikuwa kikipanda hata mama AFENI alikuwa hawezi kumtuliza ila jada(mama jayden)ndio aliweza kumtuliza mzuka huyu jamaa.
Alikiri kwamba alikuwa ni mtu wa muhimu kwake katika maisha kuliko muziki.![]()