mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
U cant believe alikataa kabisa jada kwamba alikuwa ni demu wake.
But more than a friend.
Kichaa cha pac kilikuwa kikipanda hata mama AFENI alikuwa hawezi kumtuliza ila jada(mama jayden)ndio aliweza kumtuliza mzuka huyu jamaa.
Alikiri kwamba alikuwa ni mtu wa muhimu kwake katika maisha kuliko muziki.
Janet Jackson waliigiza pamoja tu film ya Poetic Justice, hakukuwa na uhusiano. Hat katika hiyo film kulikuwa na scene iliyowahitaji ku_kiss na Janet alikataa kabisa.
Naona jicho ndiyo kaugonjwa kako...!Kaka ana jicho la kushawishi
Ndio image tukiwa wawili akinitizamašNaona jicho ndiyo kaugonjwa kako...!
Hahaha....Ndio image tukiwa wawili akinitizamaš