Tetesi: Tbc na magazeti ya serikali je yametangaza ushindi wa upinzani congo?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kufahamishwa vituo vya luninga radio na magazeti yanayomilikiwa na ccm na serikali je yana/yametangaza ushindi wa Felix tshisekedi kwamaana nyingine je wametangaza juu ya ushindi wa upinzani? Nasubiri mnijibu
 
Mpinzani Ni Huko Kwao Tu, Nje Ni Mshirika Katika Ushirikiano Wa Kimataifa. Diplomasia Ya Kimataifa Haina Mpinzani
 
Serikali Yetu ilitangaza kumuunga mkono mgombea yeyote kwenye uchaguzi huo ? kwanini wasitangaze ?
 
Walipoona yule mjinga anakaribia kushinda Kwa wizi wa kura walisema mchezo ulikua fare. Baada ya ma padre kuja juu na upinzani kushinda wameingia Kwenye miti
 
Watakuwa wanasubiri maelekezo toka juu. Ngoja mkubwa apitie mafaili usiku huu
 
Si
Naomba kufahamishwa vituo vya luninga radio na magazeti yanayomilikiwa na ccm na serikali je yana/yametangaza ushindi wa Felix tshisekedi kwamaana nyingine je wametangaza juu ya ushindi wa upinzani? Nasubiri mnijibu
Diplomasia na siasa ya Tanzania ni kutofungamana na upande wowote na kutoingilia siasa za nchi zingine. Kule Kongo tunalinda Amani na sio chama tawala wala upinzani. Kwa maana hiyo chama chochote kinachoingia madarakani hushirikiana na Serikali yetu, siasa hii imeijengea Tanzania heshima kubwa ndani na nchi. Mifano IPO mingi tangia Zambia, Kenya n.k. TBC na magazeti ya serikali ya Tanzania sio time ya uchaguzi ya Kongo hadi vitangaze matokeo au ushindi na having waandishi wala watangazaji kule Kongo. Usituchonganishe na wakongo
 
A

Acha upumbavu kwanza kutokuwa na mwandishi au ripota ni ujuha sio jambo la kujisifia

pili sababu ya kutotangaza mnaijua hamtaki kukisanua huku 2020 juu ya yote msijisifie ujinga jamii bora hujengwa na taarifa sahihi
 
Eti msichonganishwe na wakongo we kweli ppm hao wanaotangaza wao wsnawachonganishaje?

ukiritimba usio na maana
 
Anzisha redio yako utangaze mambo ya nchi nyingine, redio yetu inatangaza maendeleo ya wananchi
 
Ndio upuuzi mnaoujenga tz eti maendeleo ya wananchi my foot nchi inaendeshwa kishamba mnaona poa
 
bado hawajapata habari kamili kuhusu hiyo ishu..!
c unajua tena mitambo yao ni outdated.
 
Tbc ya tido mhando mmeihujumu mpk watu wanaionea kinyaa radio yao ya taifa
 
Ndio upuuzi mnaoujenga tz eti maendeleo ya wananchi my foot nchi inaendeshwa kishamba mnaona poa
Kuna mataifa yana maslahi Kongo kupora rasilimali hasa madini, hao wana interest na uchaguzi wa Kongo, kaungane nao mtangaze matokeo hayo. Akili za kudownload kaziupdate
 
Poor

Poor creature south of the Sahara desert
 
Back
Top Bottom