Tetesi: Tbc na magazeti ya serikali je yametangaza ushindi wa upinzani congo?

Tetesi: Tbc na magazeti ya serikali je yametangaza ushindi wa upinzani congo?

Ndio upuuzi mnaoujenga tz eti maendeleo ya wananchi my foot nchi inaendeshwa kishamba mnaona poa
Nchi inaendeshwa kishamba nawe mshamba bado umo tu?, hamia Kongo, katiba inaruhusu mtanzania kuishi popote, nenda kama Tanzania inakukera
 
The rich umeisaidiaje nchi kama sio kulalamika tu kwa kila kitu?, hadi JPM anastaafu unakuwa na magonjwa yote, kisukari, shinikizo LA damu na msongo wa mawazo. Akili za kifisadi kazisafishe
Poor

Poor creature south of the Sahara desert
 
Nchi inaendeshwa kishamba nawe mshamba bado umo tu?, hamia Kongo, katiba inaruhusu mtanzania kuishi popote, nenda kama Tanzania inakukera
Ngoja tushike nchi mtaona tutakavyoibadilisha

demokrasia
maendeleo
amani bila hofu ya kutekwa nk
 
Nchi ikibadilika ikaendelea zaidi ni vyema. Tumeleta Airbus mbili mksongeza 8, tumejenga SGR dar mwanza, mkaongeza hadi zenj ndicho tunachotaka. Sio maendeleo ya kuitukana nchi na kuisema vibaya kwa wazungu.
Ngoja tushike nchi mtaona tutakavyoibadilisha

demokrasia
maendeleo
amani bila hofu ya kutekwa nk
 
Hata sisi tuna maslahi na Congo. Wanatumia badari yetu. Wanakuja kununua vitu mbakimbali ikiwa na maana ya biashara. Wengine wanafanya kazi Tanzania na kutulipa kupata work permit karibu dola 1000 kama sijakosea. Unasemaje hatuna na masilahi?
Kuna mataifa yana maslahi Kongo kupora rasilimali hasa madini, hao wana interest na uchaguzi wa Kongo, kaungane nao mtangaze matokeo hayo. Akili za kudownload kaziupdate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi tuna maslahi na Congo. Wanatumia badari yetu. Wanakuja kununua vitu mbakimbali ikiwa na maana ya biashara. Wengine wanafanya kazi Tanzania na kutulipa kupata work permit karibu dola 1000 kama sijakosea. Unasemaje hatuna na masilahi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunisaidia mkuu
 
Back
Top Bottom