Tanzania yapo matatizo mengi ambayo yanahitaji uhamasishaji na vichochezi ili wananchi wachangamkie fursa au waweze kutoka katika hali husika.
TBC licha ya kuwa wanatumia fedha za walipa kodi, hawatengezi vipindi vyenye muelekeo wa kuhamasisha vijana au kutatua kero zilizopo.
Ukifuatilia vipindi vyote, utaona vina dhima moja tu, pongezi kwa mama, tozo na blah blah nyingine.
Hivi hakuna ubunifu?
Hawa TBC wamewahi kufanya tathmini na kujiuliza kama wanasonga mbele au kurudi nyuma? Idadi ya watazamaji imeongezeka?
Kuna makosa mengi madogo madogo kwenye taarifa zao. Mf. No caption za kuwatambua wanaozungumza etc.
Huwezi kuwa na kituo chenye maudhui moja tu ya mama Samia.
Wote wanaohojiwa juu ya kitu fulani, utasikia tunampongeza mama Samia. Oh.
Sie vyema kuwaambia wananchi waseme nini.
Lakini dhana ya vipindi na pongezi za hivi, ni ya hovyo.