Ili kodi za watanzania kila mtu, wakiwemo watoto wapenzi wa soka, Basi leo Dakika 90 tu nawaomba mechi hii muoneshe maana ni wazalendo na hata asiye na salio la kifurushi afurahie kodi yake.
Tuungane kuisapoti Taifa Stars na sio kusubiri ishinde.
Uzi Tayari.
CC: Ayoub Ryoba (PhD)
Katika mahali kodi yangu yatumika vibaya ni TBC kwanza imekaa kizaman zamani tu ,kutwa nzima kumsifia jiwe ,wao na ccm tu,wako radhi hata wadanganye ilimradi wajipendekeze kwa jiwe.
Mechi ya muhimu kama hi wao walivyo wa**nge hawataionesha nadhani