TBC ni chombo ambacho nado inaendeshwa kwa Kodi za Wantazania?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
 
No longer save publick interest but interest za watawala
Nacho kinahitaj kifumuliwe
 
Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
Binafsi nimeitoa kwenye channels ninazoangaliaa
Kwa takribani Miaka 5 sijaangalia tbc
 
Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
Tido Muhando pekee pale TBC aliongozwa na taaluma yake na kufuata miiko ya kazi katika kuliendesha shirika hilo.
 
Back
Top Bottom