Elections 2010 TBC Removes Policy Forum Ad

Elections 2010 TBC Removes Policy Forum Ad

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Posts
272
Reaction score
129
Policy Forum releases TV Spot on Mining

Policy Forum has released television and radio spot to promote transparency and citizen engagement in the mining sector as part of its advocacy work on revenues from the extractive industries. The advert is being aired on TBC, Star TV and ITV television stations as well as Radio One, Radio Free Africa and Taifa Radio. Watch the clip below:

NEWSFLASH....!!! TBC have removed this ad from their broadcasts citing it as an infringement of their election reporting ethics


Reference:


http://www.youtube.com/watch?v=A3fJTCd9PWY

Policy Forum releases TV Spot on Mining | Policy Forum

Policy Forum | Making policies work for people in Tanzania!
 
Last edited by a moderator:
well and nice to hear this coming from our lovely national tv which is for the interest of ccm and kikwete and their partners (mafisadis)....congratulations to tbc1,tido,marine hassan you know you will later be judged according to your actions of helping ccm to undermine democracy................tbc1 is currently making tanzanians more than very angly............you will later harvest what you are planting now
 
These pipo bana.
Wameamrishwa kuliondoa maana hiari yao hawawezi.
Wametumia kanuni ipi ya maadili YAO ya uchaguzi kuliondoa hilo banner?

Dawa ni kuwaombea njaa watu hawa
 
Expect anything from these Nyang'au's slaves
 
These pipo bana.
Wameamrishwa kuliondoa maana hiari yao hawawezi.
Wametumia kanuni ipi ya maadili YAO ya uchaguzi kuliondoa hilo banner?

Dawa ni kuwaombea njaa watu hawa
Wenzako walishatangaza kuwa wanalindwa na nguvu isiyo onekana! tehe tehe!
 
TBC=To B obedient to Ccm...na hilo ndilo wanalojitahidi kutuhakikishia
 
ccm hawana uwezo wa kujibu maswali ya watanzania na hawana huwezo wa kuleta maendeleo tanzania kamwe.Chama kimejaa watu wachafu kushinda shetani na tamaa yao kubwa kiasi cha kwamba hawajali nchi yao hata kidogo.Na ndio maana sasa hivi wanaangaika kuficha ukweli wowote kwa ubabe.
 
Ile ya sheikh yahaya sio?................rais wa nchio anakubali kujitangaza kuwa yeye anashirikiana na wachawi na majini? Inatia simanzi,sitaona ajabu hapo baadaye kikwete akituhumiwa kuhusika na mauaji ya albino kwa style hii
wenzako walishatangaza kuwa wanalindwa na nguvu isiyo onekana! Tehe tehe!
 
Lile tangazo sikuona tatizo lake.
Nadhani BBC aliyokuwepo TIDO haikumfahamu vyema huyu njekule
 
ccm haina pakushika, kila washikapo kunateleza, wanawayawaya.
 
What is wrong with that Ad? najua Tido anaamlishwa kufanya vitu ambavyo nafsi zao haziwatumi. Ninavyomjua Tido nafsi moja inamwambia kwamba hilo tangazo halina tatizo, na nafsi nyingine inamwambia kwamba lazima atumikie kafiri ili apate mkate wake. He should know that the most prominent place in hell is reserved for people like him ! Why doesn't he resign?
 
Hawataki kuulizwa maswali, na tangazo hili lilikuwa linauliza maswali. Kama ITV na Star TV bado wanalirusha sidhani kama itaadhili kitu, after all the message have been sent. WAMECHELEWA
 
Hivi kwa nini TBC haipendi ukweli? Utaona taarifa yao ya habari linapofika swala la uchaguzi ni vyama viwili au vitatu tu CCM,CUF labda na NCCR ndio utaona covarage yake kubwa lakini vingine hamna. Sasa hili la kutaka kujua kwa nini tu masikini pamoja na majaliwa yote aliotupa mungu hawataki watu waelewe lakini wamechelewa kwani kwani ziko njia nyingi za kuwafikishia watu taarifa hizi.
 
Nimependa sana vituo vingine vya televishion, cos wanarusha hilo tangazo na linatoa kweli halisi kuwa tanzania haina viongozi makini
 
TBC1 ni bendera ya ccm muda wote inafuata upepo wa ccm haifai kuitwa Tv ya taifa bora iitwe Tv ya ccm kieleweke wazi
 
Sikutegemea kama yule Tido wa BBC nagekuwa ni huyu Tido wa TBC-CCM... redio/Tv ya umma kwa kudhamiria kabisa wanaamua kumbania mgombeammja na kumpendelea mwingine! wajiandae na wao kulia njaa uchaguzi utakapokwisha, pale wafanyakazi watakapokosa/kucheleweshewa mishahara kwani hao wanaowakampenia leo watakuwa bize kurudisha gharama walizohonga, na pale times media watakapojaa wachina
 
I congratulate Policy Forum for coming up with this very powerful Ad. They should not be discouraged by TBC's actions but rather distribute it widely to the general public using popular media i.e. cell-phones, internet, and such other means. It is time for those in power to account for their actions. For sure we cannot afford to live in abject poverty in the land of plenty. Once again hongera sana Policy Forum
 
....congratulations to tbc1,tido,marine hassan you know you will later be judged according to your actions of helping ccm to undermine democracy...

Tusiwalaumu hawa watendaji...wao ni waajjiriwa na wengine wateuliwa hivyo basi ni lazima wafuate amri kwa wakubwa wao...Tungewalaumu kama wangekuwa ni wanasiasa..Ukingalia sana hii ndio ile msemo wa siku ya kufa nyani matawi huvunjika.

Jamani hamuoni kuwa CCM wanajichimbia shimo wao wenyewe?.....pole sana chama chetu
 
Back
Top Bottom