TBC Taifa mna tatizo gani?

TBC Taifa mna tatizo gani?

king majuto

Member
Joined
Dec 20, 2020
Posts
39
Reaction score
51
Nimefanya uchunguzi wangu Mdogo tu nimegundua wananchi wengi hawapendi kusikiliza taalifa ya habari ya Redio ya Taifa wengi wanapenda Sana Taarifa ya habari ya Redio One, sijui Redio ya Taifa wamefeli wapi?

Tofauti kabisa na miaka ya nyuma miaka ya 1970 mpaka miaka 1990 watu walikuwa wanapenda Sana kusikiliza taarifa ya habari na vipindi vingine vya Redio ya Taifa.
 
TBC wanatazama watu wa vijijini tu mambo yao ya kilimo kwanza
 
Iliachwa kusikilizwa pale ilipoabadilika kutoka kuwa redio ya taifa na kuwa redio ya chama maana watu hupenda kusikiliza balanced news na siyo hbr za upande mmoja tu
 
Back
Top Bottom