Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Kashasha kwa mbwembwe.
Kocha mzuri sana. Amefundisha wachezaji kama Paul Rwechungura,Bitta John,Athuman Jumapili Chama,Mussa Msangi ( rip) Charles Dionis.Mbwembwe Yes, ila sina imani naye katika ukocha.
Yule nomaa..sauti ya radi baraka mpenja na pascal kapombe,,mwaka jana alikua na ile mama mkanye mwanaooKwa hili nakubaliana nawe.Lakini hata yule jamaa wa WAYA, WAYA,WAYA...kutoka pale big brand TV station(currently) anajitahidi kwa mbwembwe.
Yupo serekalin...anasubir mafao yake hahahaMwl Oregenes Kashasha ni burudani tosha katika soka la bongo. Sijui kwa nini Azam TV wasimrubuni ahamie kwao. Itawasaidia kupata watazamaji wengi na hivyo kuongeza biashara zao.
Azam wanawatengeneza vijana wao...na wako vizurAzam tv hawamuoni mwl kashasha au wanaleta dharau?
Hawajafika hata robo ya mwl Kashasha.Azam wanawatengeneza vijana wao...na wako vizur
Kuchambua bado..ila watangazaji wanao,,si unajua wapo na mtaalam mwenyew Charles hilary na kina baruan muhuza....kwa hyo lazima watangazaji wao wa mpira wawe vizuriHawajafika hata robo ya mwl Kashasha.
Wao wanajua kupiga story sio kuchambua soka
Hii ndivyo alicho zungumza baada ya Umeme kukata"Kitaalamu hii inatokana na chenga za Emmanuel Arnold okwi emmostng ukitazama vizur jinsi anavokokota mpira anasbabisha evaporation inapanda to the maximum limit imbayo inapelekea clouds kupata rainside effect along the area of weakness.... So automatically...rapidly warming itaiizidi grid ya taifa na mkonge Wa taifa kutikisika kutokana na yule beki aliyefanana na marehemu ndanda cosovo kuunawa Mpira...lakini suala la radi limetokana na ile penati ambayo imepigwa jirani na ukanda Wa radi na kusababisha kitu kinachoitwa kitaalamu...scinosiis pyramid targeted abortion bombardier thunderstorms kwako studio namba moja"kwako JesseMwl kashasha unaouona mchezo wa simba na waarabu
Kocha mzuri sana. Amefundisha wachezaji kama Paul Rwechungura,Bitta John,Athuman Jumapili Chama,Mussa Msangi ( rip) Charles Dionis.
Kama hufahamu carrier ya hao wachezaji niliowataja zima simu. Humjui Paul Rwechu 🙂kipa wa Pamba tp lindanda) humjui Bitta John 9 Pamba na Simba taifa stars. Hayo ndiyo matunda yake.Swali: kafanya nini la maana zaidi ya kufundisha hawa regular wachezaji? Aliifundisha timu ipi na kuchukua mataji yepi? Kuna ukocha wa kuongea tu ukiwa umekaa kwenye luninga na sofa na kuna ukocha unaotambulika wa kuchukua mataji. Tutajie alichukua mataji yepi na alifanya nini kimataifa? Sina imani naye, Tanzania hatuna makocha wa ukweli, ni porojo tu na sifa za kijinga toka kwa mashabiki wasiojuwa mpira.
Tofautisha ukocha na uchambuzi.Swali: kafanya nini la maana zaidi ya kufundisha hawa regular wachezaji? Aliifundisha timu ipi na kuchukua mataji yepi? Kuna ukocha wa kuongea tu ukiwa umekaa kwenye luninga na sofa na kuna ukocha unaotambulika wa kuchukua mataji. Tutajie alichukua mataji yepi na alifanya nini kimataifa? Sina imani naye, Tanzania hatuna makocha wa ukweli, ni porojo tu na sifa za kijinga toka kwa mashabiki wasiojuwa mpira.