TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Hili lizee li kashasha sijui kashat lina mbwembwe mpaka linadanganya aisee, linanikumbusha Ezekiel Malongo enzi hizo.

Nakumbuka Senegal waliingia robo fainali world cup 2002 jamaa alikuwa anaongea maajabu, akina elhalj diof na henry kamara alisema mpaka namba za viatu vyao
 
udambwi udambwi wa mwl kashasha ni noma sana et A man in the space a ball in the space kwako jese
 
Kwa hili nakubaliana nawe.Lakini hata yule jamaa wa WAYA, WAYA,WAYA...kutoka pale big brand TV station(currently) anajitahidi kwa mbwembwe.
Yule nomaa..sauti ya radi baraka mpenja na pascal kapombe,,mwaka jana alikua na ile mama mkanye mwanaoo
 
Mwl Oregenes Kashasha ni burudani tosha katika soka la bongo. Sijui kwa nini Azam TV wasimrubuni ahamie kwao. Itawasaidia kupata watazamaji wengi na hivyo kuongeza biashara zao.
Yupo serekalin...anasubir mafao yake hahaha
 
Hawajafika hata robo ya mwl Kashasha.
Wao wanajua kupiga story sio kuchambua soka
Kuchambua bado..ila watangazaji wanao,,si unajua wapo na mtaalam mwenyew Charles hilary na kina baruan muhuza....kwa hyo lazima watangazaji wao wa mpira wawe vizuri
 
Kwa hili heko zenyuuuuu TBC ,maana kwenye TV unachoona na Mtangazaji anachoeleza tofauti.
 
Mwl kashasha unaouona mchezo wa simba na waarabu
Hii ndivyo alicho zungumza baada ya Umeme kukata"Kitaalamu hii inatokana na chenga za Emmanuel Arnold okwi emmostng ukitazama vizur jinsi anavokokota mpira anasbabisha evaporation inapanda to the maximum limit imbayo inapelekea clouds kupata rainside effect along the area of weakness.... So automatically...rapidly warming itaiizidi grid ya taifa na mkonge Wa taifa kutikisika kutokana na yule beki aliyefanana na marehemu ndanda cosovo kuunawa Mpira...lakini suala la radi limetokana na ile penati ambayo imepigwa jirani na ukanda Wa radi na kusababisha kitu kinachoitwa kitaalamu...scinosiis pyramid targeted abortion bombardier thunderstorms kwako studio namba moja"kwako Jesse
 
Mwalimu kashasha bwana cheki alivojibu alipoulizwa kuhusiana na mchezo ulivosimama "Kitaalamu hii inatokana na chenga za Emmanuel Arnold okwi emmostng ukitazama vizur jinsi anavokokota mpira anasbabisha evaporation inapanda to the maximum limit imbayo inapelekea clouds kupata rainside effect along the area of weakness.... So automatically...rapidly warming itaiizidi grid ya taifa na mkonge Wa taifa kutikisika kutokana na yule beki aliyefanana na marehemu ndanda cosovo kuunawa Mpira...lakini suala la radi limetokana na ile penati ambayo imepigwa jirani na ukanda Wa radi na kusababisha kitu kinachoitwa kitaalamu...scinosiis pyramid targeted abortion bombardier thunderstorms kwako studio namba moja"
 
Kocha mzuri sana. Amefundisha wachezaji kama Paul Rwechungura,Bitta John,Athuman Jumapili Chama,Mussa Msangi ( rip) Charles Dionis.

Swali: kafanya nini la maana zaidi ya kufundisha hawa regular wachezaji? Aliifundisha timu ipi na kuchukua mataji yepi? Kuna ukocha wa kuongea tu ukiwa umekaa kwenye luninga na sofa na kuna ukocha unaotambulika wa kuchukua mataji. Tutajie alichukua mataji yepi na alifanya nini kimataifa? Sina imani naye, Tanzania hatuna makocha wa ukweli, ni porojo tu na sifa za kijinga toka kwa mashabiki wasiojuwa mpira.
 
Mwalimu Kashasha yupo vzr sana. Na maneno yake yanafanya mpira uvutie zaidi.
Mzee wa Near post,Far post& ball dancer
 
Swali: kafanya nini la maana zaidi ya kufundisha hawa regular wachezaji? Aliifundisha timu ipi na kuchukua mataji yepi? Kuna ukocha wa kuongea tu ukiwa umekaa kwenye luninga na sofa na kuna ukocha unaotambulika wa kuchukua mataji. Tutajie alichukua mataji yepi na alifanya nini kimataifa? Sina imani naye, Tanzania hatuna makocha wa ukweli, ni porojo tu na sifa za kijinga toka kwa mashabiki wasiojuwa mpira.
Kama hufahamu carrier ya hao wachezaji niliowataja zima simu. Humjui Paul Rwechu 🙂kipa wa Pamba tp lindanda) humjui Bitta John 9 Pamba na Simba taifa stars. Hayo ndiyo matunda yake.
Umeujua mpira jana unapiga kelele.
Mbali na ukocha ni mtumishi wa serikali( Mwl wa secondary.
Need more clarification?
 
Swali: kafanya nini la maana zaidi ya kufundisha hawa regular wachezaji? Aliifundisha timu ipi na kuchukua mataji yepi? Kuna ukocha wa kuongea tu ukiwa umekaa kwenye luninga na sofa na kuna ukocha unaotambulika wa kuchukua mataji. Tutajie alichukua mataji yepi na alifanya nini kimataifa? Sina imani naye, Tanzania hatuna makocha wa ukweli, ni porojo tu na sifa za kijinga toka kwa mashabiki wasiojuwa mpira.
Tofautisha ukocha na uchambuzi.
Neville alikuwa mchambuzi EPL. Akaenda kufundisha LA Liga. Unajua kilichomkuta?
 
my best swahili soccer presenter ni Charles Hillary...jamaa huwa anatangaza kama pace ya football kwenye pitch inavyoenda
 
Back
Top Bottom