TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Ile tunaitwa block buster mana mzamir yassin ni mzur sn wa mipira mirefu yan spring balls
 
Tofautisha ukocha na uchambuzi.
Neville alikuwa mchambuzi EPL. Akaenda kufundisha LA Liga. Unajua kilichomkuta?

Tumia akili kijana, sasa kwa mawazo yako finyu Neville ni kocha? Alikuwa hajawahi kufundisha timu yeyote before kwenda Spain, yule ni mchambuzi tu wa mpira na ukiwa mchambuzi una base sana kwenye kuamini ujuacho wewe.
 
Ndiyo maana nimesema sina Imani naye kwa sababu hao wote uliowataja si wachezaji wazuri ni majina tu....hivi hujanielewa bado? Ni sawa tu na kusema Ngassa ni bonge la striker au Nyosso ni beki mzuri kinoma wakati kila mtu ajuaye mpira anajuwa kuwa ni ujinga na uwongo tu.
 
Kipindi kingine kizuri TBC ni zamadam cha festus makerubi
 
Tumia akili kijana, sasa kwa mawazo yako finyu Neville ni kocha? Alikuwa hajawahi kufundisha timu yeyote before kwenda Spain, yule ni mchambuzi tu wa mpira na ukiwa mchambuzi una base sana kwenye kuamini ujuacho wewe.
Sielewi unachotaka kutuambia! Kashasha ni mchambuzi mzur wa Soka - yes
Anajitahidi ana integrate elimu ya Soka aliyonayo na anachokiona uwanjani, tofauti na wachambuzi wa kibongo tulio nayo! Namfurahia kwenye technical aspects
 
Kashasha hana kitu, si mchambuzi kivile.....hii nitakupinga mpaka milele.
 
Azam tv hawamuoni mwl kashasha au wanaleta dharau?
Acha mawazo primitive, Kashasha ni mwajiriwa wa serikali (mtumishi wa umma) analipwa vizuri sana na tbc inasikika nchi nzima tena bure. Wewe unataka aende huko kwenye mizengwe ya ving'amuzi tutamsikiaje sisi?

Halafu serikali inajitahidi kuboresha shirika lake la utangazaji nyie mnahamasisha watumishi wahamie mashirika binafsi.
 
Kinachomuinua zaidi shule imelala kichwani hasa Physics sasa akihamishia ishu kama Newton laws of motion, projectile motion na waves uwanjani mambo yananoga kwelikweli
 
enzi za sport lady halima mchuka
 
Aseee ni kweli mkuu... hawa jamaa kwa sector hii wapo vyedi.
 
Hahahhaah burdaaaan kabisa .... kwako Jesse [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahhaah burdaaaan kabisa .... kwako Jesse [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana mwalimu kashasha,eh na sasa mpira unapigwa kuelekea kaskan-mashariki mwa uwanja ambapo ndipo lilipo lango la wana nkurukumbi,siyo mbali sana ni nje kidogo mwa eneo la 18.Naona yupo JUMA ABDUL,AJIBU na Tshishimbi,ebu Mwalimu Kashasha tupe tathmin yako ya kiufundi kwa eneo kama lile
 
Ukitaka mbongo akusifie tumia terminologies za kiingereza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…