TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Ile tunaitwa block buster mana mzamir yassin ni mzur sn wa mipira mirefu yan spring balls
 
Tofautisha ukocha na uchambuzi.
Neville alikuwa mchambuzi EPL. Akaenda kufundisha LA Liga. Unajua kilichomkuta?

Tumia akili kijana, sasa kwa mawazo yako finyu Neville ni kocha? Alikuwa hajawahi kufundisha timu yeyote before kwenda Spain, yule ni mchambuzi tu wa mpira na ukiwa mchambuzi una base sana kwenye kuamini ujuacho wewe.
 
Kama hufahamu carrier ya hao wachezaji niliowataja zima simu. Humjui Paul Rwechu 🙂kipa wa Pamba tp lindanda) humjui Bitta John 9 Pamba na Simba taifa stars. Hayo ndiyo matunda yake.
Umeujua mpira jana unapiga kelele.
Mbali na ukocha ni mtumishi wa serikali( Mwl wa secondary.
Need more clarification?

Ndiyo maana nimesema sina Imani naye kwa sababu hao wote uliowataja si wachezaji wazuri ni majina tu....hivi hujanielewa bado? Ni sawa tu na kusema Ngassa ni bonge la striker au Nyosso ni beki mzuri kinoma wakati kila mtu ajuaye mpira anajuwa kuwa ni ujinga na uwongo tu.
 
Kipindi kingine kizuri TBC ni zamadam cha festus makerubi
 
Tumia akili kijana, sasa kwa mawazo yako finyu Neville ni kocha? Alikuwa hajawahi kufundisha timu yeyote before kwenda Spain, yule ni mchambuzi tu wa mpira na ukiwa mchambuzi una base sana kwenye kuamini ujuacho wewe.
Sielewi unachotaka kutuambia! Kashasha ni mchambuzi mzur wa Soka - yes
Anajitahidi ana integrate elimu ya Soka aliyonayo na anachokiona uwanjani, tofauti na wachambuzi wa kibongo tulio nayo! Namfurahia kwenye technical aspects
 
Kashasha hana kitu, si mchambuzi kivile.....hii nitakupinga mpaka milele.
 
Azam tv hawamuoni mwl kashasha au wanaleta dharau?
Acha mawazo primitive, Kashasha ni mwajiriwa wa serikali (mtumishi wa umma) analipwa vizuri sana na tbc inasikika nchi nzima tena bure. Wewe unataka aende huko kwenye mizengwe ya ving'amuzi tutamsikiaje sisi?

Halafu serikali inajitahidi kuboresha shirika lake la utangazaji nyie mnahamasisha watumishi wahamie mashirika binafsi.
 
Ahsante Jesse! nilisema mwanzoni kama back line ya lipuli haitabadilika wataruhusu magoli mengi,alichokifanya AJIBU pale amepiga LEON PASS ambayo imemfikia OBREY CHIRWA akiwa katika "a man in the space,a ball in the space" ni seme ni goli nzuri sana ambalo limetokana na kazi nzuri ya ajibu
kwako Jesse!
Kinachomuinua zaidi shule imelala kichwani hasa Physics sasa akihamishia ishu kama Newton laws of motion, projectile motion na waves uwanjani mambo yananoga kwelikweli
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama tbc, toka kipindi cha kina juma nkamia,swedi mwinyi,ahmed jongo,eziekel malongo mpaka sasa kipindi cha kina jesse john,enock bwigane na chacha maginga hakika tbc wameonyesha ukomavu wa hali ya juu...

Bila kusahau mbwembwe za mwl kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kwako jesse
enzi za sport lady halima mchuka
 
Aseee ni kweli mkuu... hawa jamaa kwa sector hii wapo vyedi.
 
Ahsante Jesse! nilisema mwanzoni kama back line ya lipuli haitabadilika wataruhusu magoli mengi,alichokifanya AJIBU pale amepiga LEON PASS ambayo imemfikia OBREY CHIRWA akiwa katika "a man in the space,a ball in the space" ni seme ni goli nzuri sana ambalo limetokana na kazi nzuri ya ajibu
kwako Jesse!

Hahahhaah burdaaaan kabisa .... kwako Jesse [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahhaah burdaaaan kabisa .... kwako Jesse [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana mwalimu kashasha,eh na sasa mpira unapigwa kuelekea kaskan-mashariki mwa uwanja ambapo ndipo lilipo lango la wana nkurukumbi,siyo mbali sana ni nje kidogo mwa eneo la 18.Naona yupo JUMA ABDUL,AJIBU na Tshishimbi,ebu Mwalimu Kashasha tupe tathmin yako ya kiufundi kwa eneo kama lile
 
IMG_20180314_183324.png

"Kwako jesse"
 
Ukitaka mbongo akusifie tumia terminologies za kiingereza tu
 
Back
Top Bottom