TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Natazama mpira huku nasikiliza redio,ni kwa ajili ya kupata kashata za Kashasha. Fundi mpaka namuonea wivu
 
Kashasha.. Sio nshomile?! Maana kwa ujuvi?! Htr.. Ana opinion kwa kila jambo analoulizwa.

Sio kuwa na opinion au Nshomile, give credit where it is due, the man knows the game and he has tons of confidence! Bravo Mwalimu Kashasha
 
Back
Top Bottom