Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kituo cha Redio cha Taifa 'TBC Taifa' na kituo cha Runinga cha TBC1 wachaguliwa kama vituo bora vya maudhui ya Redio na Televisheni kama washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Tuzo hizo za jumla zinatolewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Tuzo hizo za jumla zinatolewa na Rais Samia Suluhu Hassan