TBC tunataka kuona mechi za kimataifa kama nchi nyingine

Wazo zuri, sijui kwanini hawataki kuongeza uigo kwa kujiingizia mapato zaidi.

Naamini kwa uonekanaji wake, inastahili kabisa kuonesha mpira na vipindi vya vijana kama Discovery etc kwenye TBC2.

Wangepata matangazo mengi saaana na hivyo kuongeza kipato
.
 
Hiyo Tv ni uchafu kabisa. Tatizo urasimu Mwingi. Yaani bado wanatumia camera za miaka ya 70 huku watu wapo digital.

Alafu ubunifu 0 kabisa.

Bora alivokuwepo TIDDO.

HUYU mkurugenzi wa saiv takataka kabisa. Anaendesha Tv utadhani kikundi cha maigizo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nikiripoti kutoka mahama ya Kisutu kesi ya Tido kuendeleza TBC Mimi ni wa TBC
 
TBC ilikuwa ile ya Tido tu, nilikuwa sibanduki kwenda chaneli nyingine. Hii ya sasa ni ugoro mtupu na nilisha acha kuangalia yapata miaka mitano sasa
 
Alafu kajamaa hua kanajiskia kishenzi.

Macamera man wao utadhani hua wanaitana ndugu. Hata matukio yabkawaida tu shida kuyachukua. Urudi kwa mixer wa picha studio yule ndo hovyo kabisa.

Vipindi vyao hata wazee hua wanaboreka navyo.

Sasa just imagine😂😂😂😂
 
Mm nadhani wana ulemavu wa uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi, kipindi kimoja kinaweza kurudiwa mwezi mzima
 
Jana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC Wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
Kodi zetu zinatumika kufanya kazi za CCM, Bora tu wawe wanatuonesha mipira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…