Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSiku 100 za Mama.
Kodi zetu zinatumika kufanya kazi za CCM, Bora tu wawe wanatuonesha mipiraJana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC Wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
Hii ni moja ya kero kubwa sana hapo TBCMm nadhani wana ulemavu wa uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi, kipindi kimoja kinaweza kurudiwa mwezi mzima