chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Kwema wakuu,
Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.