chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Kweli mkuuDstv wako ya sheria za nchi hakuna cha FTA channels.
Hakuna wa kuwatingisha si TCRA wala Wizara ya Habari
Akilipia tu dish linakaa sawa. Haina cha kuhama hapoPole ila channel zingine au dish limehama 0742 504010
DuhDstv wako ya sheria za nchi hakuna cha FTA channels.
Hakuna wa kuwatingisha si TCRA wala Wizara ya Habari
Channel nyingne ziko poa kabisa. Okay nitakucheki mkuuPole ila channel zingine au dish limehama 0742 504010
DSTV hakuna chaneli za bure, kifurushi kikiisha tu wana block local chanel zote unaachiwa TBCCCM tuKwema wakuu,
Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.