Kwani Taifa halikusanyi kodi? Tunaanzaje kuchagishana kwani Taifa star imekua kilabu ya binafsu kama Simba au Yanga? Hiyo ni aibu kwa Taifa....kama mbunge mmoja anannuliwa kwa zaidi ya million 400m, taifa star inakosaje pesa.karubuni tufuatilie kampeni ya moja kwa moja inayorushwa na kituo cha utangazaji cha Tbc chini mhe.waziri wa michezo kaka yetu dr.mwakyembe ya kuichangia timu yetu ya TaifaStars ili iweze kushiriki michezo ya Afcon nchini lesotho tarehe 18/11/20018
atakayehitahi kuichangia atumie namba ya wakala ya airtel na.442442
....karibuni sana vijana wetu tuwachangie......
Kutoa ni moyo.........!Kwani Taifa halikusanyi kodi? Tunaanzaje kuchagishana kwani Taifa star imekua kilabu ya binafsu kama Simba au Yanga? Hiyo ni aibu kwa Taifa....kama mbunge mmoja anannuliwa kwa zaidi ya million 400m, taifa star inakosaje pesa.
Wamegeuza mradi huuhivi hao jamaa si ndio walipewa maburungutu na Le presida juzi na waliambiwa wakifungwa watazitapika
Mungu atunusuru na huu utawala wa kishetaniKwani Taifa halikusanyi kodi? Tunaanzaje kuchagishana kwani Taifa star imekua kilabu ya binafsu kama Simba au Yanga? Hiyo ni aibu kwa Taifa....kama mbunge mmoja anannuliwa kwa zaidi ya million 400m, taifa star inakosaje pesa.
Aibu sana eti tuchangie hela ya mafuta kwa mabasi mawili,Aibu kwelikweliNimemsikia Japo kwa kifupi Nauli mashabiki 150000(laki na busy) kwa Bus
Pesa zinazopatikana kwenye viwanja vya mpira ambavyo CCM ilivyopora zinatosha kupelekwa timu ya taifa.karubuni tufuatilie kampeni ya moja kwa moja inayorushwa na kituo cha utangazaji cha Tbc chini mhe.waziri wa michezo kaka yetu dr.mwakyembe ya kuichangia timu yetu ya TaifaStars ili iweze kushiriki michezo ya Afcon nchini lesotho tarehe 18/11/20018
atakayehitahi kuichangia atumie namba ya wakala ya airtel na.442442
....karibuni sana vijana wetu tuwachangie......
Kama ni aibu kwanini hela yote isitoke mfukoni kwako ukaisitiri nchi yako?. Taifa Stars ikishindika na wewe utaishangilia kama wengine. Punguzeni kuishi na vinyongo kama wake wenza.Aibu sana eti tuchangie hela ya mafuta kwa mabasi mawili,Aibu kwelikweli
Hazitoshi bana alito milioni 50 bado milioni 300 jumla ni milioni 350hivi hao jamaa si ndio walipewa maburungutu na Le presida juzi na waliambiwa wakifungwa watazitapika
Ok sawa wasiliana na mo au namba yake hunaHazitoshi bana alito milioni 50 bado milioni 300 jumla ni milioni 350