Chibolo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 5,181
- 6,813
karibuni tuungane wote kufuatilia kampeni ya kuichangia Team yetu ya Taifa stars kwenda lesotho kushiriki michezo ya Afcon
kampeni inaendeshwa na mhe.waziri wa michezo kaka yetu Dr.Harisson Mwakyembe
atakayetaka kuchangia atumie wakala wa Airtel namba 442442
mchango wowote unapokelewa.....kuchangia ni moyo!!
K A R I B U N I....