TBC: Wadau karibuni tuichangie Taifa Stars

Tanzania Ni Kichwa Cha Mwendawazimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duniani kote jukumu la kuhudumia timu ya Taifa ni SERIKALI, sasa CCM wasiepuke jukumu lao la msingi kugharimia timu ili WANANCHI wafurahie matunda ya SERIKALI waliyoiweka madarakani
 
Kwani TFF haikuwa na bajeti?
 
Mambo ya nchi hii ukiyafuatilia sana unaweza kuugua kichaa kama kiongozi mkuu wa nchi.
Huwa nachukia sana kuona limtu linatoka mbele ya halaiki na kukitapa kwamba tupo kwenye right nini sijui then linaendelea kuharisha et tutembee vifua mbele. Huu ni upuuzi ambao sijawah ushuhudia hapa nchi kabla ya huyu mtu kuwa kiongozi mkuu.
 
Kodi ninayolipa kila siku nikinunua bidhaa na li PAYE lote mnge prioritize hata team za Taifa 10 mngeweza kuzihudumia, simply kila mtu apambane na hali yake.Kwanza nina uchungu na king'amuzi changu kukosa local channels.Nyie endeleeni kuchangia tu..kila la heri.
 
Ningechangia lakini hiyo chanel nina allege nayo nasikitika
 
Tulikuwa busy na kuangalia mechi mbili za leo za ushindi wa bao tano tano.

Wasiwasi tunaweza changia halafu hizo pesa zikatumika kwa matumizi mengine.
 
Tanzania to Lesotho distance (3,812.3 km)SAA 52 sio mchezo...lazima uwe mzalendo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…