Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Ni Kichwa Cha MwendawazimuHivi zile pesa ziko wapi!??
1.Tulizo wanyang'anya mafisadi?
2.Tulizookoa baada ya kuondoa watumishi hewa
3.Za kwenye madini
4.Faida za ATCL
5.Kodi zetu watumishi
6.Kodi za wafanya biashara
7.Mbuga za wanyama
8 Alizookoa kwa kutosafiri nje ya nchi
9. Za makinikia
10 .Za viwanda 3000 vya mwijage
11.Kishika uchuma kutoka kwa WANAUME ACACIA
12.Bandari yetu
WOTE WANAOCHANGIA TAIFA STARS NI MANG'OMBE TU WASIOJITAMBUA!
napitaHuyo kyembe atuambie kwanza pesa za wakulima wa korosho zilipelekwa wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo kyembe atuambie kwanza pesa za wakulima wa korosho zilipelekwa wapi.
Duniani kote jukumu la kuhudumia timu ya Taifa ni SERIKALI, sasa CCM wasiepuke jukumu lao la msingi kugharimia timu ili WANANCHI wafurahie matunda ya SERIKALI waliyoiweka madarakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]