Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia Kodi za wananchi Kama mtakavyo.Mjali na mambo mengine Kama matukio ya michezo jamani.Mmeshatuumiza vya kutosha kwa Kodi zetu,mtujali jamani,tumechoka kutizama uzinduzi jamani!
content zote za zbc2 zinaandaliwa na azamtv. azam tv ndio wamekabidhiwa jukumu la kuiendesha chaneli ya zbc2. ni jukumu walilopewa na serikali ya zanzibar.