TBC wanashindwa Nini na ZBC?

TBC wanashindwa Nini na ZBC?

lukatony

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
667
Reaction score
523
Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia Kodi za wananchi Kama mtakavyo.Mjali na mambo mengine Kama matukio ya michezo jamani.Mmeshatuumiza vya kutosha kwa Kodi zetu,mtujali jamani,tumechoka kutizama uzinduzi jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZBC ni televisheni kongwe barani Africa na ndio iliyoanza matangazo ya picha ya rangi kusini mwa jangwa la Sahara. TBC ni mambo ya juzi tu.
 
Zile Chennal za ZBC, zimeboreshwa na azamu, na azamu ndiyo hurusha matangazo hayo kupitia Chennal hizo.

Siitetei TBC, ila hizi chennal za Taifa sijui zikoje, Nenda kenya, Rwanda, Burundi Uganda, DRC, mambo ndiyo haya haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
content zote za zbc2 zinaandaliwa na azamtv. azam tv ndio wamekabidhiwa jukumu la kuiendesha chaneli ya zbc2. ni jukumu walilopewa na serikali ya zanzibar.
 
wanaweza kukatisha matangazo ya mpira ili kurusha hotuba hata ya mkuu wa wilaya hawajielewi hao.
 
Back
Top Bottom