Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Ahahahahahahaaaaaah hadi habari za JK zinagoma, kwa kweli hali ni mbaya.
.
Kwa hili tayari watakuwa wameisha consult sheikh Y kuulizia maana ya huku kugoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahaaaaaah hadi habari za JK zinagoma, kwa kweli hali ni mbaya.
TIDO anajua kibarua chake kitaota nyasi baada ya 31st oct so lazima ajikombe kwa JK ili asije kuwamo ktk kundi la wasaliti
Tbc wanafurahisha sana, hasa pale wanapojaribu kuukwepa umati wa watu wanapotangaza habari za sLAA. NAOMBA KUWASHAURI WAACHANE TU NA HABARI ZA SLAA. Zitawatesa sana,