TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti ''lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19''

TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti ''lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19''

Ni ushenzi mkubwa sana kudanganya ili ku-score cheap political points. WHO hatujasema hivyo. Propaganda zenu zimevuka mpaka sasa. Mnaweza kupata vyeo kwa kufanya kazi siyo kwa kujikomba na kudanganya. Sawa? Lockdown zimesaidia sana kwa taarifa yenu. COVID-19 is an infectious/contagious disease which is slowed down by minimization of contact. Hata darasa la 7 anajua hilo. Sasa ujinga gani huu wa kusema kuwa WHO wamesema lockdown hazikufanya kazi! Kila siku mnapanga watu hapo TBC wa kupiga pambio na kusifia. Eti nchi zenye kulegeza lockdowns zimeiga Tanzania. Kweli? New Zealand, UK, Singapore, nk wametoa lockdown kwa kuiga Tanzania. Mav* yenu. Kwanza wanajua kuwa kuna nchi duniani inaitwa Tanzania?

Hao ndiyo wanaoitwa misukule, mapoyoyo, mataga na majina ya namna hiyo.

Wengine wao, wako salama huko kulikokuwa kumepigwa lockdown. Wakati wao sasa wako salama na gonjwa hili si issue tena huko waliko, wanatucheza shere sisi huku kuwa hiyo kitu haifai kabisa.

Kazi kweli kweli.
 
Inakuhusu kwa sababu kodi yako wakula kama kawaida halafu pia hawajari kama kuna mtu kasusa kuwaangali.
Hainuhusu. Ndio maana I don't care. Kama kodi wanakatwa wote. Sijawahi kuuumwa sababu nimelatwa kodi. Kwangu ni ishu ndogo sana
 
Wewe wacha kujitoa ufahamu, chombo chochote cha habari tegemeo lake kubwa ni watumiaji ambao ni mimi na wewe.

Bila wasikilizaji au watazsmaji hiyo tbc nani atawaamini na kuwapa matangazo ya biashara?

Wacheni kutoa majibu mafupi kwenye maswali marefu
Sasa unadhani wewe kutofuatilia hiyo TBC kwao ni jambo kubwa?
 
hii si mara ya kwanza kwa TBC kufanya makossa ya kiufundi kama hili, pale tatizo lao tatizo ng'eng'e……….
 
TBC= CCM propaganda machine and a liability to the impoverished people of Tanzania.
 
Back
Top Bottom