TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti ''lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19''


Hao ndiyo wanaoitwa misukule, mapoyoyo, mataga na majina ya namna hiyo.

Wengine wao, wako salama huko kulikokuwa kumepigwa lockdown. Wakati wao sasa wako salama na gonjwa hili si issue tena huko waliko, wanatucheza shere sisi huku kuwa hiyo kitu haifai kabisa.

Kazi kweli kweli.
 
Inakuhusu kwa sababu kodi yako wakula kama kawaida halafu pia hawajari kama kuna mtu kasusa kuwaangali.
Hainuhusu. Ndio maana I don't care. Kama kodi wanakatwa wote. Sijawahi kuuumwa sababu nimelatwa kodi. Kwangu ni ishu ndogo sana
 
Wewe wacha kujitoa ufahamu, chombo chochote cha habari tegemeo lake kubwa ni watumiaji ambao ni mimi na wewe.

Bila wasikilizaji au watazsmaji hiyo tbc nani atawaamini na kuwapa matangazo ya biashara?

Wacheni kutoa majibu mafupi kwenye maswali marefu
Sasa unadhani wewe kutofuatilia hiyo TBC kwao ni jambo kubwa?
 
hii si mara ya kwanza kwa TBC kufanya makossa ya kiufundi kama hili, pale tatizo lao tatizo ng'eng'e……….
 
TBC= CCM propaganda machine and a liability to the impoverished people of Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…