Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Star times ipo sijaajua Kwa ving'amuzi vingineHiyo TBC1 HD iko king'amuzi gani mkuu?
Huwa nawasikiliza Sana tu mkuu ila RAMADHAN MBWADUKE kawapiga gepu Sana. Hata kwenye page ya Salama Ngale ya Facebook kampost huyo mwamba.Mkuu wasikilize jamaa hawa Gharib Mzinga na Ramadhan Ngoda na katika uchambuzi kuna jamaa anaitwa George Ambangile... kwa upande wangu wapo vizuri sana sana
Sio HD permanent bali ni kipindi hiki cha world cupHiyo TBC1 HD iko king'amuzi gani mkuu?
Kulipia au FTA?Star times ipo sijaajua Kwa ving'amuzi vingine
FTA Ila wangeweza kufanya maboresho madogo tu ingekuwa poa Sana.Kulipia au FTA?
Kurusha video HD unalipia, sasa TBC wanaweza kulipia mechi zote.? Tangu nimeanza kuangalia WC kupitia TBC ni mara moja tuu wameonyesha WC kwa HDFTA Ila wangeweza kufanya maboresho madogo tu ingekuwa poa Sana.