Sawa n TANGANYIKA na siyo TanzaniaBunge limeanza kuwepo kabla ya Uhuru Rasmi. Karimjee tumevuka näe
Unawashangaa TBC badala ya kujishangaa na wewe kuandika orodher😀😀😀😀Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.?
Hawa waandishi wamekaa kuitetea serikali mpaka wanasahau mambo ya muhimu ya kazi zao. Uzembe sana. Television ya taifa haijui hata historia vilaza sana
Atakua kaishiwa bando huwezi kulipa kin'gamuzi ukaangalia ule udwanzi sa hz wanaprogram inaitwa mwezi wa mama kwa nia ya wazi kabisa ya kujipendekeza Mambo ya tunatekeleza na safari ya Dodoma yalipotelea hewani hivihvi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]pole sana.
Mpaka sasa unaangalia/sikilliza hiyo takataka?
Ulitumwa uangalie iyo TBC?Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.?
Hawa waandishi wamekaa kuitetea serikali mpaka wanasahau mambo ya muhimu ya kazi zao. Uzembe sana. Television ya taifa haijui hata historia vilaza sana
[emoji848]Si bora Hilo shirika linaudhi tu! Njoo ukutane na ATCL umekata tiketi kuwahi mkutano na wewe ndo unafanya presentation au mwenyekiti wa mkutano. Utaambiwa ndege moja amechukua mama, nyingine PM, nyingine Mpango, nyingine tunamsubiri Mwigulu amalizie kuandaa documents tusafiri naye.
duhSi bora Hilo shirika linaudhi tu! Njoo ukutane na ATCL umekata tiketi kuwahi mkutano na wewe ndo unafanya presentation au mwenyekiti wa mkutano. Utaambiwa ndege moja amechukua mama, nyingine PM, nyingine Mpango, nyingine tunamsubiri Mwigulu amalizie kuandaa documents tusafiri naye.
Hilo shirika likivuka miaka kumi ijayo basi tutakuwa tunaweza kufikia kiwango Cha uchumi wa chinaSi bora Hilo shirika linaudhi tu! Njoo ukutane na ATCL umekata tiketi kuwahi mkutano na wewe ndo unafanya presentation au mwenyekiti wa mkutano. Utaambiwa ndege moja amechukua mama, nyingine PM, nyingine Mpango, nyingine tunamsubiri Mwigulu amalizie kuandaa documents tusafiri naye.
Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.?[emoji23]Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.?
Hawa waandishi wamekaa kuitetea serikali mpaka wanasahau mambo ya muhimu ya kazi zao. Uzembe sana. Television ya taifa haijui hata historia vilaza sana
Mbona umechelewa sana kujua , ulikuwa jela ?Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.