TBC1 ni shirika bovu zaidi la utangazaji duniani

Kuna Mtu alikulazimisha Kuiangalia ( Kuitizima ) hiyo TBC1 mpaka Mapovu yakutoke 'Kipopoma' hivi?
 
namuomba mkurugenzi wa TBC aondoa watangazaji hapo jikoni maana kila mmoja macho yake kwenye jiko nitengenezee hiki na hiki hawako sirias na kazi zao kipindi cha magazeti asubuhi walafi sana
 
TENA HAWANAGA HATA AIBU YAANI NI HOVYO KABISA !!!!!!!!!
NILITEGEMEA DR RYIOBA ANAWEZA FANYA MABADILIKO NAE AMEKUWA WALEWALE !!!!!
 
Vilevile uckivu wa redio ya taifa co mzuri hasa cc tu naishi mbali na mijini redio haickiki vizur wanashindwa na vijiredio vidogo vidogo km jembe fm, sengerema fm, storm fm. Hii ni aibu kwa taifa.
 
Ila lina watangazaji wakali wa kike balaa. Huwa napigaga puli nikiona wameva zile nguo zinazowachora hasa yule bimti nasikia wa Tanga yule
 
[emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…