Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kaka nina kaugonjwa kakusahau kidogo! Huu ubeti ni ule wa AKUDO ama tangazo jipya la chui. Ila tuache utani Chui anafunika mkUU!
Tangazo jipya mkuu. Hapa nilipo koo linakwaruza. Nikitoka hapa breki ya kwanza kaunta. Raha yake umimine chupa nzima kwenye glasi kubwa wakati unaigida mhudumu anakuwa njiani analeta nyingine. Serengeti, achana nayo mkuu. Ni kitu kingine kabisa. Hakilinganishwi na kingine.