Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Hawa marketeers uliowataja hivi sasa ni mafisadi huko TBL - the most corrupt! Usitake kujua....Wameharibikiwa wote, briliiant minds wasted, kama kuna ndugu yao humu basi awashauri vyema vijana waambie waache rushwa. Na si wao tu hata mabosi wao makaburu wote....
Pameoza na pananuka! Lakini soma singature yangu hapo chini, utaelewa zaidi what is happening to TBL .....🙄
Back to marketing strategy, when was the last time we saw any brilliant marketing ploy by TBL? When was the last time they showed respect to their consumers? They are just taking, stealing, plundering, sabotaging openly competitors.... sidhani kama SAB Miller ikifungua vitabu vyao na ikiona eti milioni 4 imelipwa kwa mwenye baa itashindwa kuhoji ni ya nini. Na wakiambiwa ni kwa ajili ya ku-buy off the baa owner not to sell competitors products basi iendelee tu with business as usual. Marekani wangekuwa wameshafungiwa....hii serikali inafanya nini? .... what are they doing about it? Hii ni aibu.....
Mkuu Susuviri,
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba serikali tayari wanataarifa ya kinachoendelea na kuna timu kutoka fair competition commission iko mtaani kukusanya data. Tusubiri baada ya muda kidogo, kuna kitu kitalipuka dhidi ya TBL.
Tiba