TBL na Serengeti Bia

TBL na Serengeti Bia

Hawa marketeers uliowataja hivi sasa ni mafisadi huko TBL - the most corrupt! Usitake kujua....Wameharibikiwa wote, briliiant minds wasted, kama kuna ndugu yao humu basi awashauri vyema vijana waambie waache rushwa. Na si wao tu hata mabosi wao makaburu wote....
Pameoza na pananuka! Lakini soma singature yangu hapo chini, utaelewa zaidi what is happening to TBL .....🙄
Back to marketing strategy, when was the last time we saw any brilliant marketing ploy by TBL? When was the last time they showed respect to their consumers? They are just taking, stealing, plundering, sabotaging openly competitors.... sidhani kama SAB Miller ikifungua vitabu vyao na ikiona eti milioni 4 imelipwa kwa mwenye baa itashindwa kuhoji ni ya nini. Na wakiambiwa ni kwa ajili ya ku-buy off the baa owner not to sell competitors products basi iendelee tu with business as usual. Marekani wangekuwa wameshafungiwa....hii serikali inafanya nini? .... what are they doing about it? Hii ni aibu.....

Mkuu Susuviri,

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba serikali tayari wanataarifa ya kinachoendelea na kuna timu kutoka fair competition commission iko mtaani kukusanya data. Tusubiri baada ya muda kidogo, kuna kitu kitalipuka dhidi ya TBL.

Tiba
 
Mkuu TIBA, una maanisha wazee wa kazi PCCB/FCC wako mzigoni na any time TBL wataipata fresh??????
 
Unajua mchango wa TBL katika uchumi wa TZ,?..check na Revenue office.

Too childish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa hiyo nikiwa mfanyabiashara jambazi but am a good taxpayer, ni poa tu? Vp bwana Mambo Jambo, unatafuta nini huku JF, the home of Great Thinkers????????????
 
Unajua mchango wa TBL katika uchumi wa TZ,?..check na Revenue office.

Be serious man!
Regardless ya mchango wao katika uchumi kupitia kodi wanazolipa, haitakuwa sawa wala haki kwa wao kuua viwanda vingine na kuwakosesha ajira maelfu ya Watanzania walioajiriwa na SBL.
Kamwe biashara halali haiendi hivyo. Enzi za ukiritimba zimeshapitwa na wakati!
 
Too childish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa hiyo nikiwa mfanyabiashara jambazi but am a good taxpayer, ni poa tu? Vp bwana Mambo Jambo, unatafuta nini huku JF, the home of Great Thinkers????????????

Hakikisha/Thibitisha kwamba TBL ni majambazi, miss/mr great thinker
 
Hakikisha/Thibitisha kwamba TBL ni majambazi, miss/mr great thinker

My friend, I was just giving you an example that if somebody becomes unethical, does it mean that tumvumilie simply because he is a good/No. 1 Taxpayer?
 
Unajua mchango wa TBL katika uchumi wa TZ,?..check na Revenue office.

Mkuu Mambo Jambo,

Hata SBL wanachangia uchumi vile vile kwani wanalipa kodi za mapato na VAT kama kawaida!!!! Na hiyo haipashwi kuwa sababu ya TBL kuachwa watumie mbinu chafu za biashara!!

Tiba
 
Baada ya Mmiliki wa Bar iitwayo HILL GARDEN SINZA MORI,kukataa kuacha kuuza bia za Serengeti Breweries hatimaye Bendi iliyokuwa inapiga buree!kila jumapili katika kiota hicho maarufu ya Ya Capitale-King Kiki Bara Africa Moto-Wazee sugu waliokubuhu wamehamishiwa na wadhamini wao TBL na kupelekwa MEEDA BAR SINZA MORI, ambapo hakuna Chui. Imekaaje hii...
 
AAAAAha, kumbe ndiyo maana hata pale Blue View karibu na Airport hakuna CVhuiChui!!!!!!!!!!!
Kwakweli hii haifai na wenye mabaa wawe makini wanaweza ua biashara zao kabsaaaaaaaa.
 
Unajua tangu Serngeti inaanza TBL walidharau sana na kuona hawatafika mbali,sasa wameshtuka kuona duh vibwana mdogo vinakuja juu kweli kweli na one brand? sasa wananza visa vya bi mkubwa, ujue makaburu wanataka kuona wao pekee ndio wanongoza kwa kila kitu hapa afica kam si duniani,ukitaka kubisha angalia banks, migodi,shopping malls,yani huwa wanaingia kuuwa viliyopo,sasa hili la mchezo mchafu kuzuia vilaji vya watu is too much, basi watanzania tuwasuse kama hawawezi kuwa na adabu!wanapata hela nyingi sana lakini huwezi amini wafanyakazi wanateseka kifwedha ni noma, wapo wachache wezi kama watu wa makerting,sales basi,kama wataka kujua uliza mfanyakazi ndani ya tbl usikie miyeyusho yake,utakimbia!!

Vipi kuna data yoyote?
 
unataka data gani wewe? kwanza ningejua umri wako ingekuwa vyema usikute tunajadili udrink na under 18! kaulize wanywaji kama SBL 2yrs back walikuwa wanauza kama leo,au kama TBL 2yrs back walikuwa na kiwewe na chui kama ilivyo leo,that means wanatingishana sokoni! au wewe minja nini?
 
[quoteUnajua tangu Serngeti inaanza TBL walidharau sana na kuona hawatafika mbali,sasa wameshtuka kuona duh vibwana mdogo vinakuja juu kweli kweli na one brand? sasa wananza visa vya bi mkubwa, ujue makaburu wanataka kuona wao pekee ndio wanongoza kwa kila kitu hapa afica kam si duniani,ukitaka kubisha angalia banks, migodi,shopping malls,yani huwa wanaingia kuuwa viliyopo,sasa hili la mchezo mchafu kuzuia vilaji vya watu is too much, basi watanzania tuwasuse kama hawawezi kuwa na adabu!wanapata hela nyingi sana lakini huwezi amini wafanyakazi wanateseka kifwedha ni noma, wapo wachache wezi kama watu wa makerting,sales basi,kama wataka kujua uliza mfanyakazi ndani ya tbl usikie miyeyusho yake,utakimbia!!

unataka data gani wewe? kwanza ningejua umri wako ingekuwa vyema usikute tunajadili udrink na under 18! kaulize wanywaji kama SBL 2yrs back walikuwa wanauza kama leo,au kama TBL 2yrs back walikuwa na kiwewe na chui kama ilivyo leo,that means wanatingishana sokoni! au wewe minja nini?[/QUOTE]

Nimeipenda signature yako kaka! Hivi una taarifa kwamba akina Minja wapepoteza kabisa wateja wa Ndovu Lager baada ya kuipiga vipodozi kibao, kupunguza size eti washindane na chui na heineken na kuongeza kilevi. Wadau wanalalamika hang-over kwa sana na it is portable but not portable kwani si take away! Hii ni dalili tosha ya kufulia!
 
Ushindani wa namna hii kati ya TBL na SBL ni wa kipuuzi mno? Tangaza ubora wa bidhaa zako, and thats enough!Nadhani PEPSI na COCACOLA nao wana kamtindo kakishenzi namna hii.
 
QUOTE]Nimeipenda signature yako kaka! Hivi una taarifa kwamba akina Minja wapepoteza kabisa wateja wa Ndovu Lager baada ya kuipiga vipodozi kibao, kupunguza size eti washindane na chui na heineken na kuongeza kilevi. Wadau wanalalamika hang-over kwa sana na it is portable but not portable kwani si take away! Hii ni dalili tosha ya kufulia![/QUOTE]

Kamanda Mjariliamali ulikuwa wapi siku mbili tatu hizi? Tulikumisi madhabahuni.
 
Ushindani wa namna hii kati ya TBL na SBL ni wa kipuuzi mno? Tangaza ubora wa bidhaa zako, and thats enough!Nadhani PEPSI na COCACOLA nao wana kamtindo kakishenzi namna hii.

Habari za pepsi na cocacola peleka kwa watoto wenzako. Hapa makomredi tunazungumzia vinywaji vya watu wazima, alah!
 
unataka data gani wewe? kwanza ningejua umri wako ingekuwa vyema usikute tunajadili udrink na under 18! kaulize wanywaji kama SBL 2yrs back walikuwa wanauza kama leo,au kama TBL 2yrs back walikuwa na kiwewe na chui kama ilivyo leo,that means wanatingishana sokoni! au wewe minja nini?

Nimeipenda signature yako kaka! Hivi una taarifa kwamba akina Minja wapepoteza kabisa wateja wa Ndovu Lager baada ya kuipiga vipodozi kibao, kupunguza size eti washindane na chui na heineken na kuongeza kilevi. Wadau wanalalamika hang-over kwa sana na it is portable but not portable kwani si take away! Hii ni dalili tosha ya kufulia!

kaka amini usiamini nilikuwa nabwia sana ndovu,ila hivi sasa since last week ninakula chui au tusker baridiii,kwani najua mda si mrefu tusker nayo itahamia SBL, watz wanaoishabikia ndovu ni km kawaida yetu, kitu kipya kinashabikiwa sana ila mda si mda itajikuta imebaki alone na kina minja.
 
QUOTE]Nimeipenda signature yako kaka! Hivi una taarifa kwamba akina Minja wapepoteza kabisa wateja wa Ndovu Lager baada ya kuipiga vipodozi kibao, kupunguza size eti washindane na chui na heineken na kuongeza kilevi. Wadau wanalalamika hang-over kwa sana na it is portable but not portable kwani si take away! Hii ni dalili tosha ya kufulia!

Kamanda Mjariliamali ulikuwa wapi siku mbili tatu hizi? Tulikumisi madhabahuni.[/QUOTE]

Nipo cousin, nimerejea jamvini nilijifungia mahala na shemeji yako nikawa sitaki mawasiliano ya aina yoyote zaidi ya yeye na kelele za ndege!
 
Back
Top Bottom