Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za kushato.
Haiwezekani Africa Mashariki nzima watengeneza ciders wawe majirani Kenya tu na ciders zao Tusker ciders na Kenya Originals. Pia serikali kama Watanzania hawawezi kutengeneza ciders punguzeni ushuru wa ciders za Africa Mashariki tunywe za majirani zetu Kenya waliotutangulia kuliko kujaza za Africa Kusini ambazo ni ghali sana,