TBL na Serengeti tutengenezeeni local ciders(Savannah) za Tanzania kama Kenya

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za kushato.

Haiwezekani Africa Mashariki nzima watengeneza ciders wawe majirani Kenya tu na ciders zao Tusker ciders na Kenya Originals. Pia serikali kama Watanzania hawawezi kutengeneza ciders punguzeni ushuru wa ciders za Africa Mashariki tunywe za majirani zetu Kenya waliotutangulia kuliko kujaza za Africa Kusini ambazo ni ghali sana,
 
Omba wapunguze bei Kwanzaa ukisubiria hilooo
 
Hizo Apple bora watengenezee juice na watoto pia wanywe
 
Weka ka picha tuone izo za Kenya cider
 

Pamoja na pombe zote hizi, waja mnataka ziletwe nyingine? kazi ipo
 
Lile wazo la kuiboresha gongo limeishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…