Hizo nazo ni beer au maji?
Ila wameharibu sana ubora. Wamepunguza bei halafu wakatia majiUshindani mzuri,ila sisi tunaangalia ubora
Ha ha haI
Ila wameharibu sana ubora. Wamepunguza bei halafu wakatia maji
Mkuu sio mto ngono?Hayo ni maji tena yale majiiiii ya Bukoba.
Ya MTO kanoni