Waliteremsha bei ya castle lite kutoka 2500 hadi 1500 kwa lengo la kuua soko la serengeti lite lakini wamechemka mapeeeema saa nne asubuhi sasa hivi bia za castle lite ni 2000 wakati serengeti lite wanaendelea kutesa kwa 1500. Makaburu wa TBL tamaa itawaponza. Keep watching...