sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Taarifa kutoka ndani ya timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA Simba, zinadai Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), imeamua kutosaini mkataba wa kuendelea kuidhamini Simba.. Ikumbukwe mkataba huo unaisha rasmi 31/07/2016.
Thamani ya mkataba baina ya "kampuni bora ya kuzalisha bia katika ukanda wa CECAFA" TBL na "timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA" Simba S.C ilikua ni 2.5 Bilioni [500 milioni kila mwaka]. Na ulikua ni wa mda wa miaka mitano.
Baadhi ya vipengele muhimu ndani ya mkataba huo vilikua;
1. Kila mwezi, TBL ilikua inatoa 25 milioni, kwa ajili ya uendeshaji.
2. TBL ilikua inagharamia kila mwaka mkutano mkuu wa wanachama.. Hata huu wa jumapili TBL imetoa fungu.
3. TBL ilikua inatoa 20 milioni kila mwaka kwa ajili ya tamasha la Simba Day.
4. TBL ilikua inatoa vifaa vya michezo vyenye thamani kati ya Sh milioni 30 na 35 ambavyo vilitolewa mara mbili kwa mwaka kwa ajili ya kutumiwa na timu kwenye michuano ya ligi na ile ya kimataifa [nadhani hapa walimaanisha Kombe la Mapinduzi na Kagame].
5. TBL imetupatia Basi la kisasa kabisa, lenye uwezo wa kuchukua abiria 54.
6. Mnyama pale alipochukua ubingwa, alikabidhiwa 25 milioni.. Alipokamata nafasi ya pili alikunja 15 milioni.. Na hii ni kama motisha.
Kama hizi tetesi za TBL kupata ukakasi kusaini upya mkataba ni kweli.. Hii inamaanisha Simba S.C itabaki na wadhamini wakuu wawili tu kuanzia tarehe 01/09/2016 ambao ni Azam Media [wanatupatia 100 milioni kwa mwaka] na Vodacom [wanatupatia 70 milioni kwa mwaka].
Katibu Mkuu, Ndg. Patrick Kahemele, huu ni mida muafaka kufuata ushauri wa Mkuu mpalu namnukuu...
"Tafuta wadhamini wengi zaidi kwa ajili ya klabu kuliko kutegemea TBL peke yao. Tafuta wadhamini watakaodhamini jezi za mazoezi n.k. Simba ni Klabu kubwa haiwezakani ikawa inavaa tu vifaa vya Adidas, Nike, Uhl bila kunufaika kwa lolote zaidi ya kuyatangaza hayo makampuni. Tafuta kampuni ambayo itakuwa tayari kutoa udhamini kwa Klabu kuna makampuni mengi tu ya vifaa ambayo yatakuwa tayari kujitangaza kupitia Simba ambayo sio lazima yawe haya yaliozoeleka".
Ndg. Kahemele kwa ushauri zaidi toka kwa mpalu pitia Uzi huu [emoji116] [emoji116]
Katibu mkuu mpya wa Simba SC, Patrick Kahemele anza na haya
MWISHO..
Haya yote yanayotokea katika timu yetu, Is it a coincidence or planned game?? Maana haiwezekani;
"31/07/2016 mkataba wa TBL unaisha, na wanagoma kurenew.. Tarehe hiyo Mo analeta Bilioni 20 ili tumpatie timu!!"
Eeeeh Mwenyezi Mungu endelea kuipigania timu yako pendwa katika sayari hii.. Ivuke salama hili jaribu.
Simba S.C BILA Kampuni, INAWEZEKANA.